Hata mimi nimeudhika sana ijapokuwa badala yake yalikuwepo maidha mazuri sana hususan kwa mwezi huu mtukufu wa Ramadhan ila siko pamoja nawe unapo linganisha DSTV na AZAM.DSTV itabaki kuwa DSTV tu kwa uswahili huu wa AZAM TV
We jamaa unalipia 25000 unataka kulinganisha na wanaolipa malaki? Angalia unacholipia kinafanana na wanachokudelivia?AZAM TV Mulitangaza mtaonyesha games zote za EURO 2016 lakini mpaka sasa hatuwaelewi...game ya Switzerland hamkuenyesha...game ya Wales hamkuonyesha najua mtaonyesha game ya England na Urusi ila mngesema toka mapema kuwa mtaonyesha baadhi ya mechi na sio zote...
DSTV itabaki kuwa DSTV tu kwa uswahili huu wa AZAM TV
Hivi hatuwezi kuwashtaki hawa Azam Tv kwa kutudanganya?Wazushi tu, matangazo kibaoooo kumbe wanachagua mechi za kuonyesha!
Mkuu nipe uhakika maana nilikuwa nataka kununua king'amuzi cha startimesKwa malalamiko haya juu ya azam kila siku ata juzi niliponunua king'amuzi kingine baada ya kuachana na Zuku niliamua kuchukua tu Startimes tena sasa Startimes wapo safi siyo km mwanzo
Mkuu nipe uhakika maana nilikuwa nataka kununua king'amuzi cha startimes
Dah mkuu nilitaka kuchukua hicho hicho cha dish lakn walinikatisha tamaa eti hawa huduma yao ni kinyume na matangazo yaoKaka sikudanganyi Mimi nilikichukua juzi cha dishi yani kipo poa sana
Dah mkuu nilitaka kuchukua hicho hicho cha dish lakn walinikatisha tamaa eti hawa huduma yao ni kinyume na matangazo yaoKaka sikudanganyi Mimi nilikichukua juzi cha dishi yani kipo poa sana