Azam TV kunani?

Azam TV kunani?

Kwani hao Azam wanatoza sh. zaidi ya laki? DSTV mpaka US $ 100 kwa mwezi. kuona channel zote.
 
Dah mkuu nilitaka kuchukua hicho hicho cha dish lakn walinikatisha tamaa eti hawa huduma yao ni kinyume na matangazo yao

Sijui sasa hapo mkuu hao waliokukatisha walikua na maana gani, pia wao inawezekana wameshaona mapungufu Yao lkn Mimi tangu ninunue nimemaliza mwezi sasa na sijaona tatizo lolote japokuwa awali kweli huduma zao hazikuwa poa.
 
Asante mkuu..!
 
Back
Top Bottom