Sijui sasa hapo mkuu hao waliokukatisha walikua na maana gani, pia wao inawezekana wameshaona mapungufu Yao lkn Mimi tangu ninunue nimemaliza mwezi sasa na sijaona tatizo lolote japokuwa awali kweli huduma zao hazikuwa poa.