Azam tv kurudia kuonyesha mechi zilizopita mara kwa mara

Binaheim

Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
12
Reaction score
3
Wadau wa azam tv naomba kujuzwa nikiwa ni mfuatiliaji wa vpindi vya azam tv haswa Azam spot 2 naonaga marejeo ya mechi zilizopita zikirudiwa mara nyingi lakini mechi ya Azam na Cosmo Pollitans kombe la shirikisho hii imevunja rekodi ndani mwezi mmoja imesharudiwa kuonyeswa kama mara sita nahivi usiku huu baada ya hi inayorudiwa ya simba na mwadui itarudiwa tena hiyo ya azam na cosmo napenda kujua nini kinachavutia katika game hiyo haswa kinachowafanya hao jamaa hapo studio warudie kwa mara nyingi namna hiyo ilihali azam fc wana mechi zao nyingi tu zenye mvuto kuliko hii niheri hata zile mechi zakujipima kule uganda zinavutia kuliko hii kitu embu kama kuna mwakilishi wa Azam TV watupe siri ya kurudia saaana hii mechi yao na cosmo
 
Ayaa aah ndugu wadau ndio hiyo tena yarudiwa saahii saa sita usiku mlioko macho kama Uko kwa TV utaamini nachokisema azam spot 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…