Wadau wa azam tv naomba kujuzwa nikiwa ni mfuatiliaji wa vpindi vya azam tv haswa Azam spot 2 naonaga marejeo ya mechi zilizopita zikirudiwa mara nyingi lakini mechi ya Azam na Cosmo Pollitans kombe la shirikisho hii imevunja rekodi ndani mwezi mmoja imesharudiwa kuonyeswa kama mara sita nahivi usiku huu baada ya hi inayorudiwa ya simba na mwadui itarudiwa tena hiyo ya azam na cosmo napenda kujua nini kinachavutia katika game hiyo haswa kinachowafanya hao jamaa hapo studio warudie kwa mara nyingi namna hiyo ilihali azam fc wana mechi zao nyingi tu zenye mvuto kuliko hii niheri hata zile mechi zakujipima kule uganda zinavutia kuliko hii kitu embu kama kuna mwakilishi wa Azam TV watupe siri ya kurudia saaana hii mechi yao na cosmo