Emmanuel Robinson
JF-Expert Member
- May 29, 2013
- 1,856
- 1,793
Wanatumia king'amuzi gani.?Niko kibandaumiza hapa nacheki hiyo game kupitia chaneli inaitwa RTNC, iko fresh HD
Iko king'amuzi ganiNiko kibandaumiza hapa nacheki hiyo game kupitia chaneli inaitwa RTNC, iko fresh HD
Hata sijui mkuu.Wanatumia king'amuzi gani.?
Sio kweli bhn 😀Niko kibandaumiza hapa nacheki hiyo game kupitia chaneli inaitwa RTNC, iko fresh HD
Sijui mkuu. Itakuwa labda CanalIko king'amuzi gani
Nadhani ni CanalWanatumia king'amuzi gani.?
Uko kanda ya ziwa.?Sijui mkuu. Itakuwa labda Canal
Wameclone tu musiwalaumuAzam hawakupeleka production yao huko, probably wamechukua pahala
Hutaki sasa auSio kweli bhn 😀
Vya bule kudoroja, nunua Dstv.Naangalia mechi ya Tanzania na DR Congo yaani picha ni mbaya mno naona Azam tvna hawa washirika wao kwenye kurusha wanatumia tecno. Azam tv inabidi mjitafakari
DStv hawaoneshi na wewe acha kukurupuka.Vya bule kudoroja, nunua Dstv.
Nenda uwanjani basi.DStv hawaoneshi na wewe acha kukurupuka.
Vya bule kudoroja, nunua Dstv.