Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu tunakimbilia kwakua kina free to air channels kipindi ambacho kifushi kimesha na mfukoni hauko vizuri waeza kumwona hata mama Samia akiongea na TECSi juzi tu mlikua mnatoa Hongera tele kwa Azam kutoa mabilioni TFF...au mlidhani hayo mabilioni anayatoa mfukoni mwake?
Tafuta hela wewe, acha kulia lia Compact ina 49k tu hatafu unalia lia[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Njorooo wa Ubaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dstv mbaki milele aisee huo uchafu ulioandika mtoa mada mkomae nao nyie wagumu[emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nlishamiliki azam nkaona ni upuuuz iz beta tu bi diferent moa zan tu bi semu withi pua maind.
Hiyo inacost mzee!!!
Dstv
Neno jema hili.... Wanapatikana kwa bei gani?245k Bora ninunue ndama wa kitulo[emoji23][emoji23][emoji23]
250k ?Kwa yeyote anaefaham mantiki ya azam kulazimisha offer ya miezi 3 huku ukiilipia pale unaponunua king'amuzi.
Zamani nadhani kwa sehemu nyingi vingamuzi vilikua vyauzwa kwa bei isiyozidi Tsh.150,000 lakini saivi ving'amuzi vyenu vyauzwa mpaka 250,000 huko si kuwaumiza wananchi na wateja wenu.
Pia badala mshushe bei ili kila mwananchi aweze kuafford na ili kutanua wigo wa mauzo ya vifurushi na wateja waongezeke ndo kwanza bei inapaa,huku mkijificha kwenye kivuli cha offer.
Mmenidisappoint sana baada ya kujichanga kwa miaka kadhaa nikaona leo sifanyi kosa tena lazima nilale nacho,nimestaajab baada ya kufika dukani na kuambiwa ni 245,000 wakati huo mi nimeenda na kiasi ambacho ni bei ya zamani 140000 hii so fare at a kidogo au ndo kusema saivi brand yenu inazidi kupanda thamani.
Bei ya king'amuzi cha DSTV kwa sasa ni ngapi??Supply and Demand
Hujalipia siku nyingi, siku hizi compact tunalipia 49kTafuta hela wewe, acha kulia lia Compact ina 69k na kitu tu sawa na elfu 2 na kitu kwa siku hatafu unalia lia
Umeedit comment yangu mkuuHujalipia siku nyingi, siku hizi compact tunalipia 49k
plus 65k ya kifurushi, hv kwann walazimishe hyo 65k kuiweka kwenye account yako kifurushiItakua walitaka kupiga,mbona wenyewe wanatangaza bei elekezi ni 145000 dishi, antenna 99000.
Tbc nadhani walisema ndo watakuwa na mamlaka ya kuonesha mipira VPL sasa sjui wameshapewa chaoAfadhari star time aombe japo kandarasi ya kuchukulia picha kwao ili kuleta ushindani wa kibiashara,washajiona wako peke yao Hamna namna
Cha msingi ni kuchukua Dstv Maana ninavyoona Wana vipindi vizuri kuzidi Azam Kwa sasa.Hata bei za vifurushi zime panda Kwanini?
59kBei ya king'amuzi cha DSTV kwa sasa ni ngapi??