Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Azam TV Limited yaingia mkataba wa kuonesha Matangazo ya Ligi Kuu kwa miaka 10. Mshindi misimu mitatu ijayo kulamba bonus Tsh 500m

Hela ndogo mno, gharama za uendeshaji timu zinapanda kila mwaka, angalau ingekuwa hta trillion 3
Kwa akili yako inayoona gharama za kuendesha timu ni kubwa kwanini usivishauri vilabu viache kutegemea tv rights pekee? Vyanzo vya pesa kwa klabu vipo vingi wajiongeze, Liverpool ana tv rights, standard chartered, western union, gate collection and so on.
 
Acheni kukaririshana ujinga basi, kama huna ushahidi unaropoka nini?
Naona unalazimisha mknd wako kutafuna muwa na sio kazi uliyoumbiwa. Kuna ulazima gani wa wewe kuamini?
 
Naona unalazimisha mknd wako kutafuna muwa na sio kazi uliyoumbiwa. Kuna ulazima gani wa wewe kuamini?
Duuuh! Enyi wagalatia msio na akili ni nani aliyewaroga? Kweli masia wenu hakukosea
 
Back
Top Bottom