Azam Tv Max ndio App ya hovyo kabisa kuwahi kutengenezwa

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao.

Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa.

Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote?

Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki.

Mara App igome kufunguka, ikifunguka inakuandikia huna kifurushi na hapo umelipia. Mara ukikuta mechi imeanza huwezi ku-log in kwa wepesi yaani ni shida tu bin mazonge.

Wenzenu wa Dstv kupitia app yao ya Dstv Stream mbona hawana ukanjanja huu?

Watu wa AzamTv Max najua mtasoma ujumbe huu, mnatukwaza sana wateja wenu, wekezeni hela nzuri kwa wataalam wawatengenezee app bora na imara.

Nimemaliza…
 
Hii app bora wangeifuta
 
Mkuu tumia fawanews.com sio App ni website
Humo wanaonesha mechi hadi za ligi kuu ya Tanzania kiufupi Dunia nzima tena buree
 
Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao.

Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa.

Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote?

Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki.

Mara App igome kufunguka, ikifunguka inakuandikia huna kifurushi na hapo umelipia. Mara ukikuta mechi imeanza huwezi ku-log in kwa wepesi yaani ni shida tu bin mazonge.

Wenzenu wa Dstv kupitia app yao ya Dstv Stream mbona hawana ukanjanja huu?

Watu wa AzamTv Max najua mtasoma ujumbe huu, mnatukwaza sana wateja wenu, wekezeni hela nzuri kwa wataalam wawatengenezee app bora na imara.

Nimemaliza…
Tatizo la hio app Azam wanataka iwe na quality kubwa ndio kinachowaponza. Wenzao Startimes na Dstv wana stream kwa quality ndogo, video zipo compressed, na unaweza shusha quality hadi 240p ama chini ya hapo, hii inasaidia server kutoelemewa na hata bundle haliishi haraka.

Azam inakula bando na server ni rahisi kuelemewa, na kuna App zao ukitumia hata quality huwezi kushusha.

Anyway wape feedback, pengine hata uongozi hawajui hizo Changamoto.
 
🙏🏾🙏🏾
 
Back
Top Bottom