Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
BBC na CNN wanaonesha AFCON, CAFCL na ligi za ndani ya Afrika mfano NBC premium League?Kabisa kuna watu mnaofatilia TV za Bongo kiasi cha kulalamika 🤣🤣🤣🤣🤣
BBC CNN hamzioni??
Skysport hamuoni?
Hii app bora wangeifutaImagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao.
Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa.
Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote?
Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki.
Mara App igome kufunguka, ikifunguka inakuandikia huna kifurushi na hapo umelipia. Mara ukikuta mechi imeanza huwezi ku-log in kwa wepesi yaani ni shida tu bin mazonge.
Wenzenu wa Dstv kupitia app yao ya Dstv Stream mbona hawana ukanjanja huu?
Watu wa AzamTv Max najua mtasoma ujumbe huu, mnatukwaza sana wateja wenu, wekezeni hela nzuri kwa wataalam wawatengenezee app bora na imara.
Nimemaliza…
Hizo ulizotaja wanaonesha mpiraKabisa kuna watu mnaofatilia TV za Bongo kiasi cha kulalamika 🤣🤣🤣🤣🤣
BBC CNN hamzioni??
Skysport hamuoni?
Mkuu tumia fawanews.com sio App ni websiteImagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao.
Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa.
Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote?
Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki.
Mara App igome kufunguka, ikifunguka inakuandikia huna kifurushi na hapo umelipia. Mara ukikuta mechi imeanza huwezi ku-log in kwa wepesi yaani ni shida tu bin mazonge.
Wenzenu wa Dstv kupitia app yao ya Dstv Stream mbona hawana ukanjanja huu?
Watu wa AzamTv Max najua mtasoma ujumbe huu, mnatukwaza sana wateja wenu, wekezeni hela nzuri kwa wataalam wawatengenezee app bora na imara.
Nimemaliza…
NYUMBU kujifanya mnajua TV za nje, Sasa unaelewaga au unaangalia mijongeo tu?Kabisa kuna watu mnaofatilia TV za Bongo kiasi cha kulalamika 🤣🤣🤣🤣🤣
BBC CNN hamzioni??
Skysport hamuoni?
Haya ni matusi ya waziwazi sasaWatakua wametumia ma IT wa udsm kutengeneza app
Ndo ukwel huo, maana Azam sidhan kama atakua na tatzo la serverHaya ni matusi ya waziwazi sasa
📌📌📌Mkuu tumia fawanews.com sio App ni website
Humo wanaonesha mechi hadi za ligi kuu ya Tanzania kiufupi Dunia nzima tena buree
Tatizo la hio app Azam wanataka iwe na quality kubwa ndio kinachowaponza. Wenzao Startimes na Dstv wana stream kwa quality ndogo, video zipo compressed, na unaweza shusha quality hadi 240p ama chini ya hapo, hii inasaidia server kutoelemewa na hata bundle haliishi haraka.Imagine ubora wa Azam Tv lakini wanaangushwa na App yao.
Watu wana studio kali, OB Van kali, Camera za kisasa.
Mnashindwaje kutengeneza App yenu iwe imara muda wote?
Mtu uko mbali na nyumbani unasema ngoja nicheki boli kupitia Azam max, unakutana na changamoto lukuki.
Mara App igome kufunguka, ikifunguka inakuandikia huna kifurushi na hapo umelipia. Mara ukikuta mechi imeanza huwezi ku-log in kwa wepesi yaani ni shida tu bin mazonge.
Wenzenu wa Dstv kupitia app yao ya Dstv Stream mbona hawana ukanjanja huu?
Watu wa AzamTv Max najua mtasoma ujumbe huu, mnatukwaza sana wateja wenu, wekezeni hela nzuri kwa wataalam wawatengenezee app bora na imara.
Nimemaliza…
NakaziaHii app bora wangeifuta
Kuna vipindi huwezi kuvipata huko fawanews mkuuMkuu tumia fawanews.com sio App ni website
Humo wanaonesha mechi hadi za ligi kuu ya Tanzania kiufupi Dunia nzima tena buree
🙏🏾🙏🏾Tatizo la hio app Azam wanataka iwe na quality kubwa ndio kinachowaponza. Wenzao Startimes na Dstv wana stream kwa quality ndogo, video zipo compressed, na unaweza shusha quality hadi 240p ama chini ya hapo, hii inasaidia server kutoelemewa na hata bundle haliishi haraka.
Azam inakula bando na server ni rahisi kuelemewa, na kuna App zao ukitumia hata quality huwezi kushusha.
Anyway wape feedback, pengine hata uongozi hawajui hizo Changamoto.
Mkuu, nendeni mkawarekebishie!Haya ni matusi ya waziwazi sasa
Kabisa kuna watu mnaofatilia TV za Bongo kiasi cha kulalamika