Hawa jamaa nimejaribu kuwafuatilia saana tokea kampeni za Urais zianze wamekuwa wakitoa upendeleo wa wazi kwa mgombea wa chama tawala kwa kupamba mno taarifa zake huku wakikatakata habari za wagombea wa upinzani hasa za mpizani number moja wa Jiwe (Tundu Lissu) .
Na pale siku Jiwe anapokuwa hafanyi kampeni kama leo basi hawaoyeshi kabisa habari za mpinzani wake mkuu .Hata leo wamefanya hivyo tena .....Big up kwa ITV leo mmetugusa saana watz ..taarifa yenu ya habari leo ilikuwa nzuri saaana
Hawa AZAM kinachowaweka mjini kwa sasa ni ligi kuu ya Vodacom vinginevyo tungeshawafyekelea mbali kwani hata ubora wa vin'gamuzi vyao viko chini saana huwezi linganisha na DSTV