Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

Azam Tv msimu huu mbona hamuoneshi Emirates F.A Cup?

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Misimu iliyopita tulikuwa tunakula burudani ya Kombe la FA kupitia AzamTv

Sasa hivi michuano inaendelea AzamTv haoneshi labda ile Carabao Cup.

Sasa kama mnashindwa kuonesha Emirates FA Cup mtaweza kweli mziki wa EPL?

Nilikuepo!
 
Azam TV ni kin'gamuzi cha wavaa makobazi na maskini... usitarajie wao kwenda mile za mbali wataishia huko huko kwenye vidimbwi vyao vya Ligi kuu na ndondi za uswahili uswahili..
 
Azam TV ni kin'gamuzi cha wavaa makobazi na maskini... usitarajie wao kwenda mile za mbali wataishia huko huko kwenye vidimbwi vyao vya Ligi kuu na ndondi za uswahili uswahili..
Nakubali
 
Hao wazee kukwepa kodi kimfumo hawezi kufanya biashara iliyonyooka na bepari
 
Back
Top Bottom