Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Uzi huu upelekwe jukwaa la siasa...Nina wasiwasi pia na weledi wa bin Zubbery maana wakati anaongelea kuhusu baraza jipya la mawaziri, anatoa taarifa kana kwamba baraza limetangazwa leo asubuhi bila kujua kwamba, kwa dunia ya leo yenye mapinduzi ya teknolojia ya habari, habari ya jana jioni siyo habari tena.
Angejikita katika uchambuzi wa baraza na walioteuliwa siyo kuanza kusoma majina, hata hivyo hata majina yenyewe anayasoma kwa taabu sana. Nimeshangaa Sana.