uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,467
- 916
Ajabu mleta mada unapondea lakini huku uswazi zote za dar watu wa vibanda umiza wanapiga hela kwa kuonyesha ndondo kiingilio 500 mabanda yanajaa balaa.. Ukienda uwanjani kiingilio buku 2000 na uwanja unajaa.. Nenda jpili ukamuone chief wa kauzu kwenye fainali utainjoi mwenyewe... Ndondo yaweza kuwa na thamani kuliko hata match ya yanga na mazembe iliyoingiza watu bure uwanjani.