Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots?

Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu kabisa ya Simba na Yanga kuwahi kushuhudia.
 
Shoots on target paka fc 12 Yanga 0, kwenye historia ya fainali hii haijawahi kutokea ndani ya dk 90 hakuna shuti hata moja golini, ule ulikuwa ukuta zaidi ya berlin Kibwana, Ninja, Makapu Adeyung na Teacher, kwa nini wamchague onyango na wala sio Ninja aliyekuwa anapiga tackle za world cup class ni balaa kubwa alilokutana nalo onyango kakimbizwa kama paka.
 
nasikiza efm hapa wanabishana hii ishu ,kuna wanaosema kugonga besela ni on target wengine off target
On target that means ulikuwa unafunga mpira ukaingia nyavuni likawa goli au kipa akazuia usiingie lakini kugonga chuma haiwezi kuwa on target kwakuwa lengo ni kufunga
 
Shoots on target paka fc 12 Yanga 0, kwenye historia ya fainali hii haijawahi kutokea ndani ya dk 90 hakuna shuti hata moja golini, ule ulikuwa ukuta zaidi ya berlin Kibwana, Ninja, Makapu Adeyung na Teacher, kwa nini wamchague onyango na wala sio Ninja aliyekuwa anapiga tackle za world cup class ni balaa kubwa alilokutana nalo onyango kakimbizwa kama paka
Yaani waliokuwa wanachagua wachezaji bora wa mchezo hawajui mpira...ninja ndio alikuwa man of the match.

Ile mechi ya azam na yanga eti haruna man of the match...wakati sureboy ndio alikuwa man of the match
 
On target that means ulikuwa unafunga mpira ukaingia nyavuni likawa goli au kipa akazuia usiingie lakini kugonga chuma haiwezi kuwa on target kwakuwa lengo ni kufunga
ok lakini nasema tu isshu ina debate hiyo ,hongera kwa deportivo la itopolo they really needed it asiee wajipe hata furaha wamekuwa wanyonge muda mrefu sana
 
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target,au zinahesabiwaje hizo shots?
Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu kabisa ya simba na yanga kuwahi kushuhudia
Mpira uligonga mwamba na ukatoka,

Kumbuka mpira wowote wa mwamba ni shot off Target.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majibu
IMG_20210114_100229.jpeg
 
Very simple ingekuwa on target lingekuwa goli sababu Mpira ungeingia ndani ya goli lakini sababu alipiga off target ndio ikagonga mwamba, na pia hivi haikuwa deflection kweli?
 
Back
Top Bottom