Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

Azam TV nitoeni ushamba kuhusu shuti la Dilunga

Hata kama kuna watu walipata on target 5, swali nililo nalo ni hili: Hizo on targets dhaifu namna ile kiasi cha Beno Kakolanya kuzidaka kilaini,ndo za kujivunia?

Bado sikuona kana Beno alipewa challenge kwa on targets ambazo ni kama zilikuwa zinapigwa na walemavu wa miguu.
 
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots?

Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu kabisa ya Simba na Yanga kuwahi kushuhudia.
Unawadhalilisha paka fc wenzio mkuu
 
Liverpool vs Atlanta.png

Katika mechi kali ya UEFA Champion League kati ya Liverpool Vs Atlanta ya italia iliyofanyika katika Uwanja wa Anfield nyumbani kwa liverpool hadi mwisho wa mchezo wenyeji walikuwa na Zero Short on Target. Ninyi wachambuzi, naomba na hili muliongelee.

Ahsante
 
Very simple ingekuwa on target lingekuwa goli sababu Mpira ungeingia ndani ya goli lakini sababu alipiga off target ndio ikagonga mwamba, na pia hivi haikuwa deflection kweli?
Ilikuwa deflected ili ilikuwa inajaa golini
 
Hata kama kuna watu walipata on target 5, swali nililo nalo ni hili: Hizo on targets dhaifu namna ile kiasi cha Beno Kakolanya kuzidaka kilaini,ndo za kujivunia?

Bado sikuona kana Beno alipewa challenge kwa on targets ambazo ni kama zilikuwa zinapigwa na walemavu wa miguu.
Kabisa
 
Leseni yake ni ndogo ila jana kadhihilisha uwezo wake mdogo waliokuwa wanampigia debe wamebaki kimya, timu inacheza bila muunganiko wowote
Ila ikapossess mpira kwa kiwango sawa na Yanga , kweli nimeamini mashabiki wa Yanga ni .... In Luc's voice [emoji23][emoji23]
 
Yaani waliokuwa wanachagua wachezaji bora wa mchezo hawajui mpira...ninja ndio alikuwa man of the match.

Ile mechi ya azam na yanga eti haruna man of the match...wakati sureboy ndio alikuwa man of the match
Nenda kachague wewe basi huyo ninja vi tackling viwili kama sio vitatu awe man of the match? Shughuli aliyoifanya babu Onyango haukuiona? Mbele yupo kati yupo mzee aliupiga mwingi sana weka ushabiki pembeni utaliona hilo.
 
Wee bwana mpira unaonekana hadharani
 
Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target au zinahesabiwaje hizo shots?

Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu kabisa ya Simba na Yanga kuwahi kushuhudia.
Kutokuelewa tu ya on, off na target...target ni mpira kuingia nyavuni kwa kugusa nyavu ama tu kuvuka mstari by > 50%, ontarget ni yale mashuti yaliyolenga goli either kuingia nyavuni ama kipa kupangua ama beki kuundoa ukiwa unaelekea nyavuni, mpira uliogonga mwamba na ukaingia golini ni ontarget pia ila ukigonga mwamba na kurudi uwanjan ama kutoka nje ni out of target ama offtarget..
 
Back
Top Bottom