njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
hahahahaha duh aisee hatari ila ile mieleka ya jana siyo ya nchi hiiiShots on target ni had kipa alicheze au lizame nyavuni
wanabishana tu ila wanajua ile ni off tagetinasikiza efm hapa wanabishana hii ishu ,kuna wanaosema kugonga besela ni on target wengine off target
On target that means ulikuwa unafunga mpira ukaingia nyavuni likawa goli au kipa akazuia usiingie lakini kugonga chuma haiwezi kuwa on target kwakuwa lengo ni kufunganasikiza efm hapa wanabishana hii ishu ,kuna wanaosema kugonga besela ni on target wengine off target
Yaani waliokuwa wanachagua wachezaji bora wa mchezo hawajui mpira...ninja ndio alikuwa man of the match.Shoots on target paka fc 12 Yanga 0, kwenye historia ya fainali hii haijawahi kutokea ndani ya dk 90 hakuna shuti hata moja golini, ule ulikuwa ukuta zaidi ya berlin Kibwana, Ninja, Makapu Adeyung na Teacher, kwa nini wamchague onyango na wala sio Ninja aliyekuwa anapiga tackle za world cup class ni balaa kubwa alilokutana nalo onyango kakimbizwa kama paka
ok lakini nasema tu isshu ina debate hiyo ,hongera kwa deportivo la itopolo they really needed it asiee wajipe hata furaha wamekuwa wanyonge muda mrefu sanaOn target that means ulikuwa unafunga mpira ukaingia nyavuni likawa goli au kipa akazuia usiingie lakini kugonga chuma haiwezi kuwa on target kwakuwa lengo ni kufunga
Mpira uligonga mwamba na ukatoka,Ilikuwa dakika ya 8 tu ila mechi imeisha statistics zenu zinasema simba haina shot on target,au zinahesabiwaje hizo shots?
Anyway hongerenei deportivo la utopolo maana tangu 2007 hilo kombe hamlijui linafananaje,hongera pia matola kwa kuweza kucheza pira gwaride hakika ilkuwa ni mechi ya ajabu kabisa ya simba na yanga kuwahi kushuhudia
Dk ya 15 Simba walikuwa na foul 13 Yanga 2 unaliongeleaje hilo mkuu?hahahahaha duh aisee hatari ila ile mieleka ya jana siyo ya nchi hiii
Kuna target ya mwamba? Labda mazoezini. Kama mwamba ni target basi penati ya Kagere ni goli.Nasikiliza wasafi wanasema shuti ambalo litagonga mwamba na halitaingia golini siyo shot on target
Hii umewaletea ya 2019 watasema ya zamani sana, huwajui Simba kwa ubishi wewe.
Hawajui mpira hao na sidhani hata kama waliwahi cheza sempo mashuleni.nasikiza efm hapa wanabishana hii ishu ,kuna wanaosema kugonga besela ni on target wengine off target