Azam TV Satellite yenu Eutelsat 7A ºE haifanya kazi

Cybergates

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2016
Posts
697
Reaction score
1,474
Watu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie

Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
 
Hiyo satellite haiwezi kuacha ku-operate hata kidogo inatumiwa ku-provide services na tv na decoder's nyingi sana duniani.
 
Azam wako 7B na 7C mkuu angalia lyngsat
 
Hiyo satellite haiwezi kuacha ku-operate hata kidogo inatumiwa ku-provide services na tv na decoder's nyingi sana duniani.

Satellite inaweza kuacha ku-operate mkuu tena huwa zinapotea, refer AMOS 5 hadi leo haijaonekana tena.
 
Eutelsat imejiimarisha mno kwenye sub Saharan countries ni almost 60% ya visimbuzi na channels wanawatumia wao.
 
Back
Top Bottom