Cybergates
JF-Expert Member
- Dec 2, 2016
- 697
- 1,474
Azam wako 7B na 7C mkuu angalia lyngsatWatu wa azam tv satellite mnayotumia 7A haifanyikazi channel hazionekani, jaribuni kuangalia connection zenu, watu tumelipia halafuhatupati channel zilizofanya tulipiie
Kama kuna watu wa Azam Huku, fanyaeni kazi. customer care yenu mbovu unamsubiri mhudumu dk 10
7A hawatumii?, 7B na 7c zina jumla ya chanel kama 84 tu, bloomberg ipo 7AAzam wako 7B na 7C mkuu angalia lyngsat
Hiyo satellite haiwezi kuacha ku-operate hata kidogo inatumiwa ku-provide services na tv na decoder's nyingi sana duniani.
Eutelsat imejiimarisha mno kwenye sub Saharan countries ni almost 60% ya visimbuzi na channels wanawatumia wao.Satellite inaweza kuacha ku-operate mkuu tena huwa zinapotea, refer AMOS 5 hadi leo haijaonekana tena.