Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,658 Jul 30, 2017 Thread starter #2 July Fourth said: Kawaida sana.. hata BBC na CNN huwa wanachapia kila mara.. japokuwa huwa wanawahi kusahihisha Click to expand... Haikuhusu. Baki na ujinga wako kwako elimu ni gharama
July Fourth said: Kawaida sana.. hata BBC na CNN huwa wanachapia kila mara.. japokuwa huwa wanawahi kusahihisha Click to expand... Haikuhusu. Baki na ujinga wako kwako elimu ni gharama
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Jul 30, 2017 #3 Pambana na hali yako Sent using Jamii Forums mobile app
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 30, 2017 #4 Wamekusikia
bombei_safaya JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 311 Reaction score 286 Sep 18, 2017 #6 Hivi huwa ni mubashara au mbashara mana Jana limetokea hlo
Duduwasha JF-Expert Member Joined Nov 3, 2010 Posts 5,703 Reaction score 3,658 Sep 18, 2017 Thread starter #7 bombei_safaya said: Hivi huwa ni mubashara au mbashara mana Jana limetokea hlo Click to expand... FaizaFoxy anatakiwa aende huko akawape Darasa. Kiarabu pengine anakifamu zaidi.. Yaweza kuwa kuna wingi na mamoja ya bushara ndio Mubashara na Mbashara Wangaacha tu kwa lugha ya English Live
bombei_safaya said: Hivi huwa ni mubashara au mbashara mana Jana limetokea hlo Click to expand... FaizaFoxy anatakiwa aende huko akawape Darasa. Kiarabu pengine anakifamu zaidi.. Yaweza kuwa kuna wingi na mamoja ya bushara ndio Mubashara na Mbashara Wangaacha tu kwa lugha ya English Live