Azam Tv wamechoka kuonesha Mpira

Azam Tv wamechoka kuonesha Mpira

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,254
Reaction score
5,161
Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo.

Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi. Sasa wamezoea.
 
Gem haijateka atensheni ndio maana wamekosa atensheni
 
Wameweka cameras kama zile za kwenye harusi tu. Zipo 3 uwanjani na zimewekwa chini zimeufanya uwanja uonekane mdogo.

Si mara ya kwanza. Ni kama Azam kwa sasa wametosheka sana. Hawana wasiwasi na hii ni kutokana na Uhuni ambao TFF wanafanya nao kuwapa kazi ya kurusha matangazo kwa miaka mingi. Sasa wamezoea.
Azam TV ni wahuni kama wahuni wengine tu hapo Tanzania.. Dstv ndio king'amuzi changu bora nachotumia nikifikaga Tanzania.
 
Utakuta wewe ni baba wa watoto wawili alafu umepost uozo wa namna hii..
Huyu atakuwa ni kama yule ex afande anaye trend ndo huwa wanakuwa hivi hivi hawa watu. Ukiangalia tu mwandiko unasema huyu...ndo waleeeeeeee.
 
Utakuta wewe ni baba wa watoto wawili alafu umepost uozo wa namna hii..
Huyu atakuwa ni kama yule ex afande anaye trend ndo huwa wanakuwa hivi hivi hawa watu. Ukiangalia tu mwandiko unasema huyu....ndo waleeeee
 
Back
Top Bottom