Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
744
Reaction score
1,621
hatimaye mzigo umefika!

Sasa kuona Ligi ya bongo itakupasa kulipia 20,000 kwa mwezi badala ya 18,000 kwa mwezi iliyokua hapo awali.

Vile vile ili kuona Ligi yetu ya hapa bongo kwa wiki utalipa 9,000 badala ya 7,000 ya hapo awali..

Huo ndio ukweli ingawa wenyewe wanajinasibu kuwa wamepunguza Bei!

Haya MITANO TENA!
 
Aloo... Mi nilikuwa nausubiri kwa hamu huo mzigo kumbe mzigo wenyewe ndo wakupandisha vifurushi lol... [emoji30]
 
Kulialia ongezeko la elfu mbili (2000/- tu) kwa mwezi ni umaskini uliotukuka!
 
Kulialia ongezeko la elfu mbili (2000/- tu) kwa mwezi ni umaskini uliotukuka!
Elfu 2 kubwa Sana,
Kama wewe unaona Ni pesa ndogo kwasasabu unazo nyingi ndio maana,.lakini unapoongeza Bei ya vifurushi je umeboresha au ndio vile vile?

Lakini je umeangalia kipato Cha mtanzania ?
 
Elfu 2 kubwa Sana,
Kama wewe unaona Ni pesa ndogo kwasasabu unazo nyingi ndio maana,.lakini unapoongeza Bei ya vifurushi je umeboresha au ndio vile vile?

Lakini je umeangalia kipato Cha mtanzania ?
Maisha hawajawahi kuwa rahis kamwe
 
Kwa tunaoshindwa tu hata kulipia Kisimbusi ( King'amuzi ) cha StarTimes kutokana na Ukata Wetu Mifukoni hii ya Azam TV naona haituhusu sana.
 
Elfu 2 kubwa Sana,
Kama wewe unaona Ni pesa ndogo kwasasabu unazo nyingi ndio maana,.lakini unapoongeza Bei ya vifurushi je umeboresha au ndio vile vile?

Lakini je umeangalia kipato Cha mtanzania ?
Si unaona ligi ya bongo sa hv ni HD?wameboresha somehow...pia mechi nyng kama c zote za ligi ya bongo wanazionyesha...
 
Azam wwlichopunguza bei au kuboresha ni hizo decorder zao mpya tu. kuhusu gharama za vifurushi hakuna Unafuu wowote
 
Elfu 2 kubwa Sana,
Kama wewe unaona Ni pesa ndogo kwasasabu unazo nyingi ndio maana,.lakini unapoongeza Bei ya vifurushi je umeboresha au ndio vile vile?

Lakini je umeangalia kipato Cha mtanzania ?
Upo sahihi lkn je umejiuliza gharama za uendeshaji zinapopanda haziwezi kumgusa mlaji?hivi mfano drones zinatakiwa kulipiwa nani awajibike sasa lazima ile kotekote na pia hata urushaji wa matangazo ya mpira kwa sasa yapo vizuri so wameboresha,kingine kuna watu watafaidika na kuna watu wataumia,mm ntalipia cha 13000 kama mpira hawaonyeshi naenda kibandaumiza.
 
kwahy kifurush cha elf 8 utakuwa umelipia chanel zip azam wameanza kutuchanganya saiv
 
Nimeichukua mahali hii
JamiiForums-1643123650.jpg
 
Azam wametuzingua tu, wametukalisha na matangazo yao mzigo umefika alafu mwishoni tunakuta wameongeza gharama.
Hiko hivi zamani tulikua tunalipa 18,000 kuangalia ligi ya bongo sasahivi tunalipa 20,000 sasa hapo wamepunguza nini?...kilichotupeleka kununua kisimbusi cha azam ni kwa ajili ya ligi ya ndani pekee, siwezi lipia 13,000 kwa ajili ya sinema zetu lazima tu nitalipia 20,000 ambayo zamani ilikua 18,000.
 
Mimi ninatumia kifurushi cha 23000 currently lakini juzi nimeambiwa kuanzia December 1 kita kuwa 20000 pamoja na Wasafi tv wameshusha almost 4000 sio mbaya
 
Back
Top Bottom