Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

Azam TV wamepandisha bei ya vifurushi vyao!

hatimaye mzigo umefika!

Sasa kuona Ligi ya bongo itakupasa kulipia 20,000 kwa mwezi badala ya 18,000 kwa mwezi iliyokua hapo awali.

Vile vile ili kuona Ligi yetu ya hapa bongo kwa wiki utalipa 9,000 badala ya 7,000 ya hapo awali..

Huo ndio ukweli ingawa wenyewe wanajinasibu kuwa wamepunguza Bei!


Haya MITANO TENA!
Wameshusha maana mi nlikua nalipa 23000 saivi ntalipa 20000
 
Back
Top Bottom