hatimaye mzigo umefika!
Sasa kuona Ligi ya bongo itakupasa kulipia 20,000 kwa mwezi badala ya 18,000 kwa mwezi iliyokua hapo awali.
Vile vile ili kuona Ligi yetu ya hapa bongo kwa wiki utalipa 9,000 badala ya 7,000 ya hapo awali..
Huo ndio ukweli ingawa wenyewe wanajinasibu kuwa wamepunguza Bei!
Haya MITANO TENA!