Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,642
- 11,139
Hivi ni kweli Azam TV wanaonyesha mechi zote za ligi wanazojinasibu kuonyesha? Jana nimeitafuta mechi kati ya Genoa na Fiorentina lakini cha ajabu japokuwa kwenye tangazo lao la mechi za Serie A jana ilikuwepo Azam Sports 3, muda wa mechi ikawekwa mechi ya ligi ya Kenya.
Hii siyo mara ya kwanza, hata baadhi ya mechi za Bundesliga wanachagua wanazoona wao ni nzuri. Pia, ligi ya wanawake Uingereza: WSL hawaonyeshi hata zile mechi ambazo kwenye tovuti rasmi ya WSL huwekwa kwenye ratiba ya mechi zitakazorushwa mbashara Azam TV!
🤬