Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Televisheni za Taifa hupewa haki za matangazo sijajua kama ni bure au hulipa vunjabeiKurusha kombe la dunia ni gharama kuliko kurusha EPL ama UEFA champions league.
Jiulize kama hizo bei nafuu zinawashinda wanaanzia wapi kumudu ya bei ghali
Sio Africa nzima bhana kumbuka kuna akina Canal+ na Bein sportsDSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.
Hizo ulizotaja moja ni ya Ufaransa satellite footprint zao zina fika East Africa so watu wamechukuwa kama fursa malipo yake unafanyia online akuna ofisi East AfricaSio Africa nzima bhana kumbuka kuna akina Canal+ na Bein sports
Burundi na Rwanda zipo wapi?Hizo ulizotaja moja ni ya Ufaransa satellite footprint zao zina fika East Africa so watu wamechukuwa kama fursa malipo yake unafanyia online akuna ofisi East Africa
DStv labda watakuwa wanakoroma!Azam na startimes hawa wote wataonyesha kupitia channel washirika.
Siyo afrika nzima,sema sub Sahara,huko Maghreb ni beinsport na wengineDSTV ana haki miliki ya kuonyesha world cup ya miaka mingi sana na wanalipa zaidi ya Dola million 10 kwa mwaka kupata hiyo haki kwa Africa nzima.
Hujui chochote kuhusu Kombe la DuniaYeah Inatakiwaa kujuaa DSTV Ndio mwenye mamlaka wengine wakitaka kuonyesha lazima wamlipe dstv ili wajiunge naye kama ilivyo ligi yetu matangazo ya tv anayo hatimiliki azam na kwanjia ya redio anyo hatimili TBC fm
Siyo kweli UEFA ndiyo ghali zaidi ikifuatiwa na EPL halafu Worl cup..ndio maana DSTV wameweka World cup kwenye kufurushi cha 21,000Kurusha kombe la dunia ni gharama kuliko kurusha EPL ama UEFA champions league.
Jiulize kama hizo bei nafuu zinawashinda wanaanzia wapi kumudu ya bei ghali
Mi naangalia kwa 54,000 sio themaminiSiyo kweli UEFA ndiyo ghali zaidi ikifuatiwa na EPL halafu Worl cup..ndio maana DSTV wameweka World cup kwenye kufurushi cha 21,000
Huku UEFA ikiwa kifurushi cha Elfu themanini na kitu...
Hapa kuna ligi unaitafuta sio bureMi naangalia kwa 54,000 sio themamini
Namsahihisha, kuangalia uefa na EPL ni kuanzia kifurushi cha 54,000Hapa kuna ligi unaitafuta sio bure