Azam TV watarusha kweli mechi za kombe la dunia?

Kurusha kombe la dunia ni gharama kuliko kurusha EPL ama UEFA champions league.

Jiulize kama hizo bei nafuu zinawashinda wanaanzia wapi kumudu ya bei ghali
Televisheni za Taifa hupewa haki za matangazo sijajua kama ni bure au hulipa vunjabei
 
Sio Africa nzima bhana kumbuka kuna akina Canal+ na Bein sports
Hizo ulizotaja moja ni ya Ufaransa satellite footprint zao zina fika East Africa so watu wamechukuwa kama fursa malipo yake unafanyia online akuna ofisi East Africa
 
Burundi na Rwanda zipo wapi?
 
Yeah Inatakiwaa kujuaa DSTV Ndio mwenye mamlaka wengine wakitaka kuonyesha lazima wamlipe dstv ili wajiunge naye kama ilivyo ligi yetu matangazo ya tv anayo hatimiliki azam na kwanjia ya redio anyo hatimili TBC fm
Hujui chochote kuhusu Kombe la Dunia
 
Kurusha kombe la dunia ni gharama kuliko kurusha EPL ama UEFA champions league.

Jiulize kama hizo bei nafuu zinawashinda wanaanzia wapi kumudu ya bei ghali
Siyo kweli UEFA ndiyo ghali zaidi ikifuatiwa na EPL halafu Worl cup..ndio maana DSTV wameweka World cup kwenye kufurushi cha 21,000

Huku UEFA ikiwa kifurushi cha Elfu themanini na kitu...
 
Mi naangalia kwa 54,000 sio themamini
 
Back
Top Bottom