Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
Hapo ungepinga ubora wa Azam kwa kusema zaidi yake nani ungeonekana wa maana zaidi.
 
Nangojea siju Chelesea TV washinde kuonyesha EPL.mkataba huo unatakiwa utue rooms kwa wadhamini wengine.millioni 100+ kwa timu pa ni big joke na timu kubwa zinastahili fedha nyingi.Wenye decoder za azam hawabanwi sana katika kulipa ili kuchangia timu kubwa hivyo mapato ya milangoni hasa Dar yatazidi kupungua
 
Halafu kuna watu humu wanapigia upatu hilo. Kilichonishangaza zaidi ni muda wa mkataba, miaka mingine mitano ya maumivu kwa vilabu
 
Halafu kuna watu humu wanapigia upatu hilo. Kilichonishangaza zaidi ni muda wa mkataba, miaka mingine mitano ya maumivu kwa vilabu
Kumbe hizo 23bn ni for 5yrs? Kama ni hivyo mh!....
 
Star times walitoa dau kubwa kushinda Azam ila TFF wamewatolea mbavuni...... hapa kuna harufu ya rushwa!!!! .

Hakuna cha rushwa hapo, wanaangalia ubora wa kifaa na si unavyofikiria wewe
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.

Umeongea point mkuu
 
Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue

Acha kujisemea kama hujui plz
 
Ndivyo hali ilivyo Mkuu yaani kila kitu ni mtazamo hasi tu, sijui lini tutajifunza kuwa na mtazamo chanya kwa anayefanya vizuri.
Kwa akili hizi soka la tanzania lina safari ndefu
 
Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue
Azam ni wawekezaji wa nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…