runyaga
JF-Expert Member
- Dec 23, 2013
- 523
- 241
Hapo ungepinga ubora wa Azam kwa kusema zaidi yake nani ungeonekana wa maana zaidi.Nani kakudanganya azam media ni wawekezaji wa ndani?
Huo bubora azam waliupata lini na wapi?
Je, zaidi ya kuonesha ligi za east afrika ni ligiganinyingine walizoonesha mpaka wawe bora kiasi hicho? Mahaba niue