Azam tv yashinda tena tenda ya kuonyesha VPL

Halafu kuna watu humu wanapigia upatu hilo. Kilichonishangaza zaidi ni muda wa mkataba, miaka mingine mitano ya maumivu kwa vilabu
Malinzi kavuna chake mapema maana hana hakika ya kurudi tena madarakani
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Hata azam wakitoa sh 500/= basi tuwakubalie tu kwa kuwa ni kampuni ya mzawa na tuachane na yule anayetoa sh 700/=?

Ujamaa unatumaliza watanzania, yaani hujui hata maana ya ushindani wa kibiashara. Unaweka sababu za kipuuzi mbele. Smh!
 
kula Like. mkuu
 
Nope, kama alikuwepo mwekezaji aliyekuwa tayari kutoa mafao makubwa kwa vilabu kuliko hiki kinachotolewa leo, hatuna cha kupongeza. Tanzania kwa sasa haihitaji ushindani wa kamera kubwa kubwa bali udhamini mnono kwa vilabu ili kuleta ushindani na hivyo kuinua viwango. Fikiri kwa kutumia kichwa ndugu. Ndanda inayopewa 150,000,000/= kwa mwaka ikipata 300,000,000/= itakuwa bora zaidi. Ni mfano tu
Hivi wewe unaamini kuna media yoyote iliyotoa dau kuzidi azam? Muwe mnabisha kwa facts na sio maneno ya kusikia bila ushahidi
 
We nyau kweli, star times wanaonesha ligi nyingi kuliko hao azam wako kama hicho ndicho kipimo.
We pimbi ulisema azam kaonesha league za east africa tu sasa laliga ni east africa?
 
Tunataka EPL sisi mambo ya VPL hatutaki. Soka la bongo sina mzuka nalo kabisaaaa
 
Watu tuache unafiki tofaut na Dstv supersport hakuna media kama Azam Hd yakuonesha mpira live Watu elewen hilo Azam yuko vizuri sana. Afu tuwe na tabia ya kupenda wawekezaji wa ndani kuliko ao startimes.
Azam tv ni wawekezaji wa ndani??mbona wanasema imesajiliwa kule naniliu??makao makuu yake yapo kule naniliu?sasa uwekezaji wa ndani hapo upo wapi?tofauti yao na hao wengine ni ipi??
 
Suala la VPL liko hivi: Tenda haikutangazwa bali ilikuwa Closed Tender. TFF ilichagua kampuni 3 kushindania tenda hiyo ikiamini kuwa kati ya hizo atakayeshinda atamudu vzr kazi hiyo. Kampuni hizo ni Startimes/TBC, Agape/TSN na Azam TV. Startimes/TBC 25billion/=, Agape 8billion/= na Azam Pay TV 23billion/=. Walioshinda tenda hiyo ni Azam Pay TV. Hiyo ndio fununu niliyonayo kwa sasa. Ukweli wake anao TFF. Ni kweli kabisa kuwa Azam pay TV imesajiliwa Mauritius mmiliki wake sina uhakika lkn yasen mekani ni Bakhresa. Tenders waliobaki wamesajiliwa humu nchini. Hapa kinachobishaniwa zaidi ni kwamba Azam Pay TV haina leseni ya TCRA hapa nchini ya kumruhusu kufanya live TV production hapa nchini. Azam amefikia hata kutangaza Taarifa ya habari live kutoka hapa nchini na kurusha matangazo ya biashara hapa nchini akishindana na TV za ndani bila kuguswa. Wengiine twaona hilo sio sahihi. Azam leseni yake hapa nchini ni kama DSTV. Ni ya Support Services tu. Leseni hii hairuhusu kufanya live production wala kutangaza taarifa ya habari live ukitokea hapa nchini. Sasa Azam TV atafanyaje live production ya mpira wakati leseni yake hamruhusu kufanya hivyo? Hapo ndipo malumbano yalipo mpaka wengine wanafikia hatua ya kuamini kuwa amependelewa. Hivi DSTV akianza kutangaza taarifa ya habari ataeleweka? Suala la bei ya bid naona si hoja sana kwa kuwa katika tendering bei sio kigezo pekee cha kushinda tenda. Leseni muafaka ni kigezo kikubwa sana. Labda TFF ajitokeze afafanue jambo hili maana linasumbua sana vichwa vya watu.
 
Star times walitoa dau kubwa kushinda Azam ila TFF wamewatolea mbavuni...... hapa kuna harufu ya rushwa!!!! .

Kampuni ya StarTimes ni level nyingine kabisa.

The contract is not necessarily
awarded to the highest bidder,

May I know why? Kwani TFF inafanya charity - kila siku wanalialia kwa ukata - wanataka Serikali iwapatie ruzuku - leo hii wanakua na ubavu wa kutupa kapuni Kampuni ya kuwapa dau kubwa!!! Wanapuuzia kumpuni ambayo imeingia ubia na Serikali na Serikali ndio hiyo hiyo inaifanya hata TFF iwepo, hilo wamelisahau kabisa wanakwenda kukimbila kampuni za watu binafsi - akili gani hizi!!
 
Kampuni ya StarTimes ni level nyingine kabisa.

May I know why? Kwani TFF inafanya charity - kila siku wanalialia kwa ukata - wanataka Serikali iwapatie ruzuku - leo hii wanakua na ubavu wa kutupa kapuni Kampuni ya kuwapa dau kubwa!!! Wanapuuzia kumpuni ambayo imeingia ubia na Serikali na Serikali ndio hiyo hiyo inaifanya hata TFF iwepo, hilo wamelisahau kabisa wanakwenda kukimbila kampuni za watu binafsi - akili gani hizi!!
Zipo sababu za kutoa zabuni zaidi ya dau kubwa. Nadhani moja ya sababu no kampuni husika kuwafikia wananchi wengi. Kuwa hili Azam hana mpinzani.
 
hongera Azam!,angeshinda startimes/TBC tusinge ufaidi mpira vizuri kwasababu mpira wa Tanzania wao sio kipaumbele chao.TBC nawakumbuka sana walikatisha matangazo ya mpira na kuonesha ujio wa rais wa china,mpaka leo sina hamu nao.
 
Suala la VPL liko hivi: Tenda haikutangazwa bali ilikuwa Closed Tender. TFF ilichagua kampuni 3 kushindania tenda hiyo ikiamini kuwa kati ya hizo atakayeshinda atamudu vzr kazi hiyo. Kampuni hizo ni Startimes/TBC, Agape/TSN na Azam TV. Startimes/TBC 25billion/=, Agape 8billion/= na Azam Pay TV 23billion/=. Walioshinda tenda hiyo ni Azam Pay TV. Hiyo ndio fununu niliyonayo kwa sasa. Ukweli wake anao TFF. Ni kweli kabisa kuwa Azam pay TV imesajiliwa Mauritius mmiliki wake sina uhakika lkn yasen mekani ni Bakhresa. Tenders waliobaki wamesajiliwa humu nchini. Hapa kinachobishaniwa zaidi ni kwamba Azam Pay TV haina leseni ya TCRA hapa nchini ya kumruhusu kufanya live TV production hapa nchini. Azam amefikia hata kutangaza Taarifa ya habari live kutoka hapa nchini na kurusha matangazo ya biashara hapa nchini akishindana na TV za ndani bila kuguswa. Wengiine twaona hilo sio sahihi. Azam leseni yake hapa nchini ni kama DSTV. Ni ya Support Services tu. Leseni hii hairuhusu kufanya live production wala kutangaza taarifa ya habari live ukitokea hapa nchini. Sasa Azam TV atafanyaje live production ya mpira wakati leseni yake hamruhusu kufanya hivyo? Hapo ndipo malumbano yalipo mpaka wengine wanafikia hatua ya kuamini kuwa amependelewa. Hivi DSTV akianza kutangaza taarifa ya habari ataeleweka? Suala la bei ya bid naona si hoja sana kwa kuwa katika tendering bei sio kigezo pekee cha kushinda tenda. Leseni muafaka ni kigezo kikubwa sana. Labda TFF ajitokeze afafanue jambo hili maana linasumbua sana vichwa vya watu.
Mwenye masikio na asikie
 
Asante kwa taarifa yako. Japo bado ni fununu kama wewe mwenyewe unavyosema, ukiacha kigezo cha gharama, je unaweza kutuwekea na vigezo vingine vilivyowekwa ili mtu aliyebid ashinde tenda hiyo?
 
Na unajua kwamba Startimes tangu ikanyage nchini haijawahi kuipa senti tano TBC kwa kisingizio cha hasara! Still Bado wapo kwenye biashara na bado wanafanya uwekezaji mpya sehemu ambayo ina hasara!
Hoja nzuri. Tunaweza kuitumia kama ya kuanzia kurekebisha kasoro za kiufundi za TBC. Nadhani Waziri wa Habari ni mwenzetu humu JF
 
TBC wameshindwa kutuonyesha bunge wangewezaje kutuonyesha mipira acheni ujinga bana...
 
TBC uwezo wao nikuonyesha cherekochereko lakini bunge na mpira live hawawezi kabisa...
 
Back
Top Bottom