AZAM TWO:Tamthilia za saa nne ni za kidini!

sasa mtoa mada yeye ugomv wake ni zile zenye kuongea maneno ya kislamu islam sana. yanamkwaza
ndio maana kukawa na chaneli nyingi ukiona hupendezwi na kipindi unabadirisha chaneli, alafu yeye lengo lake liwe ni kuenjoy tamthilia tu
 
Wanawaita mbwa mwitu niliona kipande wanalia kama mbwa kisa eti wanawaogopa waislam
 
Waislamu akili awana
 
Moja kati ya thread ya hovyo kabisa. Wakristo hatuna tabia ya kulalamikia vitu vidogo kama hivyo. Azam ana chaneli nyingi tena zipo na za kidini ya Kikristo anglia hizo.
 
😂 NACHOFURAHI TUNAENDELEA KUKUA KIAKILI ZAIDI ILA KUMPANGIA MWARABU NI KITU CHA AJABU SANA
 
Sema hawa ndugu zetu wanapenda kuigiza sana sana ukristo. Wakiigizwa wao wanaenda kuchoma moto ubalozi wa Marekani na maandamano dunia nzima.

Sote tunaikumbuka Movie ya Innocence Of Muslims ya mwaka 2012 na balaa lililotokea.
Jamaa wanapenda mno choko choko na Wakristo- ila wao wakitaniwa kidogo tu wanaanzisha Timbwiri la Asha ngedere! Na sijui why wana washwa na Ukristo wakati kuna dini ya Yeriko Nyerere, Hindus,,Budha etc... wao kila kukicha ni Yesuu tu
 

Attachments

  • AQPuDFcTd_3ta9e88YLUnY_Wf7u4UgOI1bLDKSQOUyKhzWoJHoli328AmgAaqR6O4HCXw7gmCa5OZxlmiL1wCup-.mp4
    9.7 MB
Zaidi ya michezo na habari kwangu AzamTV haina kingine cha kuangalia.
 
Huwa nafikiria Sana waislam wangekuwa majority na powerful ingekuwaaje,,,Islamic ni tatizo duniani.
 
Ni sahihi Azam anainfluence culture ya kiarabu na uislamu

Lakini mbona muda wote huu before hajaja Azam media nyingine zilikua zinafanya the same kwa Umagharib na ukristo

au sababu uislamu wenyew ni dominance kwenye kila kitu
Na athari ni kubwa kweli kuna wakrsto wameanza kuelemewa na athari za waturuki kwenye kuvaa kula na malezi
 
Mimi sio religious person, niliacha kubadirisha king’amuzi changu cha DSTV kwenda Azam sababu ya hizi elements za udini kwenye channels zao.
 
Kila bidhaa ina wateja wake ukiona hiyo bidhaa haija ku target angalia bidhaa inayo ku target. Vingamuz na packages channel Zaid ya Mia weka unapojisikia. Asie kula nguruwe asimzuie anaekula eti Udinii. Tumia akilia yako vizur una uhuru wa kuchagua unachokitaka
 
Binafsi saa nne siangaliagi kabisa nikisha angalia evermore napita kushoto
 
Azam ni mafanyabiashara binafsi mwenye utashi na mwelekeo wake!
Lilieni usawa kwenye taasisi na vyombo vya Umma!

Kanunue king'amuzi chenu Cha TING ula maisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…