AZAM TWO:Tamthilia za saa nne ni za kidini!

AZAM TWO:Tamthilia za saa nne ni za kidini!

sasa mtoa mada yeye ugomv wake ni zile zenye kuongea maneno ya kislamu islam sana. yanamkwaza
ndio maana kukawa na chaneli nyingi ukiona hupendezwi na kipindi unabadirisha chaneli, alafu yeye lengo lake liwe ni kuenjoy tamthilia tu
 
Wanawaita mbwa mwitu niliona kipande wanalia kama mbwa kisa eti wanawaogopa waislam
 
AZAM AZAM (Bakhresa)

Umejenga wigo mpana sana Kupitia Watanzania Masikini na watu wa Hali ya Chini kabisa, hao ndio waliokuinua ukakubalika, ukatanua mipaka Africa na Duniani.

Leo unapozungumzia Bakhresa,unazungumzia wigo unaokua unaotanuka na unazungumzia maisha ya Watanzania wote.

Ni familia ipi ni nyumba ipi isiyo na Bidhaa ya Bakhresa leo Hii!?
Je umeridhika sasa Umepata Pesa za kutosha unataka kuirudishia Jamii iliyokukubali na kukuinua Fadhili ya MACHAFUKO na KUIGAWA JAMII!? Je Umeamua kupitia AZAM media(Azam two) Kuuponda na Kuudhalilisha UKRISTO kwa Kutumia TAMTHILIA za Kituruki!?

Je Wateja wa bidhaa zako ni watu wa Imani gani na Dini Gani?

Ukijiuliza haya maswali nadhani Mtaacha haraka sana hiyo harakati mnayoendelea nayo ya Kuuponda na Kuudhalilisha UKRISTO bila kujali kwamba hili linaweza kuwa chanzo cha KULIGAWA Taifa Jamii na Kikawa chanzo cha uvunjifu wa amani na MACHAFUKO Nchini!?

Mmeanza vizuri Sana ila Kuna mahali mnaelekea Kuna Chokochoko za KIDINI mnafanya inaonekana mmenogewa na Kuna usaha mnataka kuupasua
Keep it up but Time will tell

SULTAN was the best (Series) But the rest is Dellution, effusion , Illution Deforming, Destruction of CHRISTIANITY !

Mfano fuatilia TAMTHILIA hizi Dakika tano tu leo AZAM two Usiku Kisha njoo kwenye Comment yangu use me neno
1. Diriliş: Ertuğrul
2.The Ottoman
3.Barbaros: Sword of the Mediterranean
4. Alparslan: The Great Seljuks

Hizi sio TAMTHILIA
Hizi zimebeba agenda ya Chokochoko za KIDINI na Kuubomoa UKRISTO Live

Please naomba BODI ya FILAMU Tanzania na Wizara yenye DHAMANA kufuatilia hizi TAMTHILIA kwa Karibu.

Je ni halali kwa nchi yetu Watu kukatana Vichwa kwa kutumia Maandiko!? Kuambatanisha Maandiko ya Dini Kuua watu na Kusema MUNGU ni Mkubwa!? Hivi sisi tumenunua Madishi na ving'amuzi ili tushuhudie UKRISTO unavyo Siginwa Tukanwa na Kudhalikishwa? Upanga wa HAKI nini maana yake!? Kwenye nchi kama hii isiyoongozwa kwa misingi ya Dini!? Kama Lengo ni Kuihubiri Imani yenu Kwanini Msiisifie dini yenu tu Kwanini msipeleke kwenye TV za Dini!? Kwanini Mjumuishe na watu waliyovaa Majoho meupe na Msalaba!?
Kwanini Hizi TAMTHILIA zinajumuisha watu waliyovaa Msalaba kwamba huwajui Vita na wana HAKI ya Kuchinjwa, Kusarenda na Kusilimishwa!? Pia ni walevi wa Divai mahekaruni
Wanatumia NGAO ya MSALABA ila haiwasaidii chochote
NGAO Ya MSALABA wanayoitumia kujikinga na Mishale ya Adui,Mishale inapenya na Hata hao (Waturuki)Madirector na Cameraman na Editor Wako kwa Kazi MAALUM fuatilia Shot za Msalaba na watu waloovaa Majoho na Msalaba wanavyozidisolve,Zoom fade out na fade in Kimkakati

Tafsiri ya Haraka UKRISTO hauna NGUVU,hauna MAANA hausaidii Ni Dini ya walevi Kwenye Mahekalu Wasiojua Vita Lakini Mwisho wa siku Wote wakubali Kusilimishwa wakikataa wakatwe Shingo What a Message!?
Mnajua Maana ya Msalaba!? MSALABA kwa Wakristo ni
"YESU" "UKRISTO" msalaba
ni UKOMBOZI, ni USHINDI ni nguvu ya MUNGU inayowaunganisha wanadamu na kuwavuta watu Kwa MUNGU
Waislamu akili awana
 
Moja kati ya thread ya hovyo kabisa. Wakristo hatuna tabia ya kulalamikia vitu vidogo kama hivyo. Azam ana chaneli nyingi tena zipo na za kidini ya Kikristo anglia hizo.
 
😂 NACHOFURAHI TUNAENDELEA KUKUA KIAKILI ZAIDI ILA KUMPANGIA MWARABU NI KITU CHA AJABU SANA
 
Sema hawa ndugu zetu wanapenda kuigiza sana sana ukristo. Wakiigizwa wao wanaenda kuchoma moto ubalozi wa Marekani na maandamano dunia nzima.

Sote tunaikumbuka Movie ya Innocence Of Muslims ya mwaka 2012 na balaa lililotokea.
Jamaa wanapenda mno choko choko na Wakristo- ila wao wakitaniwa kidogo tu wanaanzisha Timbwiri la Asha ngedere! Na sijui why wana washwa na Ukristo wakati kuna dini ya Yeriko Nyerere, Hindus,,Budha etc... wao kila kukicha ni Yesuu tu
 

Attachments

  • AQPuDFcTd_3ta9e88YLUnY_Wf7u4UgOI1bLDKSQOUyKhzWoJHoli328AmgAaqR6O4HCXw7gmCa5OZxlmiL1wCup-.mp4
    9.7 MB
Zaidi ya michezo na habari kwangu AzamTV haina kingine cha kuangalia.
 
Huwa nafikiria Sana waislam wangekuwa majority na powerful ingekuwaaje,,,Islamic ni tatizo duniani.
 
Ni sahihi Azam anainfluence culture ya kiarabu na uislamu

Lakini mbona muda wote huu before hajaja Azam media nyingine zilikua zinafanya the same kwa Umagharib na ukristo

au sababu uislamu wenyew ni dominance kwenye kila kitu
Na athari ni kubwa kweli kuna wakrsto wameanza kuelemewa na athari za waturuki kwenye kuvaa kula na malezi
 
Mimi sio religious person, niliacha kubadirisha king’amuzi changu cha DSTV kwenda Azam sababu ya hizi elements za udini kwenye channels zao.
 
Kila bidhaa ina wateja wake ukiona hiyo bidhaa haija ku target angalia bidhaa inayo ku target. Vingamuz na packages channel Zaid ya Mia weka unapojisikia. Asie kula nguruwe asimzuie anaekula eti Udinii. Tumia akilia yako vizur una uhuru wa kuchagua unachokitaka
 
Binafsi saa nne siangaliagi kabisa nikisha angalia evermore napita kushoto
 
Azam ni mafanyabiashara binafsi mwenye utashi na mwelekeo wake!
Lilieni usawa kwenye taasisi na vyombo vya Umma!

Kanunue king'amuzi chenu Cha TING ula maisha!
 
Back
Top Bottom