Azam Ukwaju, badilini umbo la bidhaa yenu, wanaume wanapata tabu

Azam Ukwaju, badilini umbo la bidhaa yenu, wanaume wanapata tabu

Kuna mdada alinunua mbele yangu amenyonya mara moja alivyoona namwangalia si akaing'ata[emoji849][emoji849][emoji849]

Wadada acheni kufanya mambo kua magumu kwa style hyo siwezi kukuamin ata mara moja unyonye [emoji1550][emoji1550][emoji1550][emoji1550]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, naona wewe ndio umeamua kabisa kufanya mambo yawe magumu zaidi.....
Hahaahaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli hiyo ndio sababu kubwa wanaume kuuogopa ukwaju. Hata akipita mtu akikwambia naona unanyonya mkuu, inachefua, watutengenezee wakwetu umbo la papuchi hata tukinyonya inakuwa sawa tu
Tayari mlisha fikiriwa na mkatengenezewa juice ya ukwaju mkuu, unakwama wapi...!!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom