Kwanini usizungumzie mechi mlizouza...about matumizi
Unanikera wewe, ushindi wa tia maji tia maji unawasumbua sana yebo yebo.
upi huo watu wanakula goal nane dada zenu kwa upande wa Tanga,wengie tano,wengi nne yaani full dose alafu bila haya unachutama hadharani na kuanza kujichamba....we mkia vipi kuwa na heshima basi
Sisi tunashindia viroba..tungechukuaje ubingws hebu tuapologise kabla hatujaaamua kumchukua okwi tena
wa Etoile ya TunisiaWe unazungumzia ushindi wa lini
Choo cha diamond platnumz imetengenezwa kwa million 70,na yanga wameshinda million 70 kwahiyo ina maana walikuwa wanajituma kugombania choo cha diamond platnumz