Azam, Undugu na Yanga umekwisha leo saa 7:30

Azam, Undugu na Yanga umekwisha leo saa 7:30

Unanikera wewe, ushindi wa tia maji tia maji unawasumbua sana yebo yebo.

upi huo watu wanakula goal nane dada zenu kwa upande wa Tanga,wengie tano,wengi nne yaani full dose alafu bila haya unachutama hadharani na kuanza kujichamba....we mkia vipi kuwa na heshima basi
 
upi huo watu wanakula goal nane dada zenu kwa upande wa Tanga,wengie tano,wengi nne yaani full dose alafu bila haya unachutama hadharani na kuanza kujichamba....we mkia vipi kuwa na heshima basi

Loh!!!!!! mi yebo yebo sijui mnashindia viroba.
 
Sisi tunashindia viroba..tungechukuaje ubingws hebu tuapologise kabla hatujaaamua kumchukua okwi tena

Okwi ni simba damu damu, hamumchukui ng'oooo, ila tunamchukua tambwe wetu, anatakiwa arudi kwao msimbazii.
 
Yanga tumeshachukua ubingwa, sasa turudi kwenye uchaguzi wa viongozi. Mwaka huu tutamtembezea bakora yule YM, mwaka huu hakuna kujiongezea kipindi cha utawala kama Nkurunzinza
 
Choo cha diamond platnumz imetengenezwa kwa million 70,na yanga wameshinda million 70 kwahiyo ina maana walikuwa wanajituma kugombania choo cha diamond platnumz

bora sisi nyie hata hela ya kitasa ya hiko choo hamjapata
 
Back
Top Bottom