Azam, Undugu na Yanga umekwisha leo saa 7:30

Azam, Undugu na Yanga umekwisha leo saa 7:30

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Leo tar.6/5/2015,saa 7:30pm ndo mwisho wa kifurushi chenu cha undugu na yanga cha masaa 24 mlichojiunga jana saa 7:30,Baada ya hapo Tumewarudisha kwa ndugu zenu simba ili muendeleze undugu wenu kama mtu na dada yake ...hamruruhusiwi kujiunga tena hata kama mna sh.mil.3445557555_6656568526;44678.5 washenzi wakubwa nyie bifu linaendelea...asanteni sana
 
Pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Kutwa kupiga mikelele hamchoki??????????????
 
Pfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. Kutwa kupiga mikelele hamchoki??????????????

Na nyie naskia mnaingia kambini wiki ijayo kujiandaa na mechi yenu na yanga msimu ujao..ni kweli ?
 
Iyo ndo SIMBA ya kuchorwa kule chekechea dadeki....

Yanga uwezo uwezo
 
Mtava hivi mwaka 2022
 
Attachments

  • 1430941461009.jpg
    1430941461009.jpg
    26.1 KB · Views: 388
Tena kwa talaka 3.., warejee kwa mikia.
 
Choo cha diamond platnumz imetengenezwa kwa million 70,na yanga wameshinda million 70 kwahiyo ina maana walikuwa wanajituma kugombania choo cha diamond platnumz
 
Choo cha diamond platnumz imetengenezwa kwa million 70,na yanga wameshinda million 70 kwahiyo ina maana walikuwa wanajituma kugombania choo cha diamond platnumz

Mtajifariji sana tu....kama mlijua bingwa anashinda choo mlikuwa mnashiriki ligi mpate nn?....kwa taarifa yako mpaka sas hatujachukua pesa za azam mil300 na hatulii njaa kama nyie mliopokea kwa mikono mia
 
Kwa hiyo mmepewa fweza,ili mfungwe?,kama mnavyotoaga fweza ili mshinde?....hovyo kweli nyie..
 
Hivi ukipanda sana boti unakuwa chizi?
Mapinduzi Cup ni mwendo wa boti. Kijiandaa mechi na Yanga mwendo wa boti. Bila kusahau lundo lao la masangoma wakiongozwa na yule wa Zanzibar.
Anawapiga million 20 kila mechi.
 
Back
Top Bottom