Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

Azam vs Singida: Naomba sababu ya goli la Azam kutokuwa offside

snipa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
4,437
Reaction score
2,043
Wanajamii naombeni sababu za kitaalamu zilizofanya goli la Azam kutokuwa offside.

Kwakuwa marejeo ya video yanaonyesha kabisa aliefunga goli alizidi.
 
Yani mm kutokujua koteee mpira hasa hizi sheria za inside na offside ila hilo goli ni offside hata kwa asie na macho atahisi mitikisiko ya off....ni offside kabisa..any way wacha tukutane nao tuwaonyeshe jinsi ya kufunga inside....
 
Kundi Bora limepeleka nusu fainali timu tatu.
Simba
APR
Singida.
Mengine ni majungu tu.
Sidhani kama ni kundi bora, bali ni kundi la walio serious na Mapinduzi cup. Yanga na Azam waliotoka ndio vinara wa ligi kuu kwa sasa.
 
Wanajamii naombeni sababu za kitaalamu zilizofanya goli la Azam kutokuwa offside.

Kwakuwa marejeo ya video yanaonyesha kabisa aliefunga goli alizidi.
lete video
 
Sasa makolokwinyo mlitaka tchukue makombe yote nyie mchukue sahani au
 
Point yangu ni kwamba Yanga hawakuwa serious na mashindano ndio maana max, Pacome na Aucho wameachwa wale bata.
Umemsahau Yao na Sure boy nao wanakula bata.
Ni mashindano ya wachezaji wanaotafuta namba Yanga.
 
Viongozi wa Singida walivo na akili kama wala mashudu ya alizeti hawachelewi kumletea kocha mwingine huyu msouth
 
Back
Top Bottom