Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Huo mpira si tungeuona kwenye ngao ya jamii au mbele ya Ihefu? Wepesi kama sufi tu nyie.Kwa mpira huu wa Yanga......Sioni Al ahly wakipona
Ukiwakuta wanavyodanganyana utacheka hadi uzimie.Huo mpira si tungeuona kwenye ngao ya jamii au mbele ya Ihefu? Wepesi kama sufi tu nyie.
Wale atletico hivi wako kundi 1 na makolo?Mamelods itakuwa mechi nzito Kwa Yanga since timu zote zinacheza mpira wa kushambulia Kwa speed kali
Utasikia unaambiwa Al Ahly hii sio Ile Mungu fundi kaileta mapema wameshindwaYanga njia nyeupa hadi Final Caf champ league Labda tukutane na mkubwa mwenzetu mamelod hapo katikati ndio ubora utaamua.
JANJA Punguza kula makande yanasababisha kushuta na kuharisha hovyo.Hapana mkuu....punguza kula maharage Yanapunguza uoni
ndio kijana tumia kutwa mara tatu tatizo lako litaisha shemeji ataomba poo.Makande ndo Nini mkuu....dawa ya nguvu za kiume????
Aliyesema kule Mafurikoni wenye akili ni wawili tu hakukosea. Majinga kweli yale!Ukiwakuta wanavyodanganyana utacheka hadi uzimie.
Waarabu wanawaogopa makolo sababu ya sifa zao za uchawi na kuwapulizia dawa,kqa makolo match na wydad inaweza kuwa rahisi ila kwa jwaneng na asec wajipange makoloKundi la makolo Kuna wydad, mimosa, kolo na .....
ANETAGA [emoji777]NB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?
NARUDIA TENA: Nionesheni shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nami niwaonesheni MBUZI ANETAGA MAYAI.
sawa mwalimu wa chekechea somo la mwandiko nimukuelewa.ANETAGA [emoji777]
ANAYETAGA [emoji736]
MBUMBUMBU PRO MAX wewe in Aden Rageeeeeeee's voice [emoji851]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ihefu ndo anacheza vzur kuliko hao woteSIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU
Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza
"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"
NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha