Azam vs Yanga waliocheza vizuri kuliko Al ahly jana

Azam vs Yanga waliocheza vizuri kuliko Al ahly jana

Yanga njia nyeupa hadi Final Caf champ league Labda tukutane na mkubwa mwenzetu mamelod hapo katikati ndio ubora utaamua.
Utasikia unaambiwa Al Ahly hii sio Ile Mungu fundi kaileta mapema wameshindwa
 
NB: KAMA AL AHLY ANGECHEZA NA AL AHLY BASI AL AHLY ANGEPASUKA ZA KUTOSHA...? HII IMEKAAJE?

NARUDIA TENA: Nionesheni shabiki wa MWIKO NYUMA FC asie na UKABWILI au MWENYE AKILI TIMAMU nami niwaonesheni MBUZI ANETAGA MAYAI.
ANETAGA [emoji777]

ANAYETAGA [emoji736]

MBUMBUMBU PRO MAX wewe in Aden Rageeeeeeee's voice [emoji851]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
SIMBA NA AL AHLY WOTE WABOVU

Kwa uchambuzi wangu mechi ya Jana ..... tittle ni walicheza sio waliocheza

"Al Ahly na Simba wote wabovu, Yanga akicheza na Simba dakika 45, anamfunga Simba na akicheza na Al Ahly dakika 45, anamfunga Al Ahly, kwa makosa aliyofanya Al Ahly angekuwa anacheza na Yanga, Al Ahly angefungwa goli 3-0, Azam FC walicheza vizuri kuliko Al Ahly, tutaanza kucheza na Simba tuwaonyeshe ubovu wao kisha tutaenda kucheza na Al Ahly tuwaonyeshe ubovu wao"

NB: kama Azam angecheza na Al ahly basi Al hly angepasuka za kutosha
Ihefu ndo anacheza vzur kuliko hao wote
 
Back
Top Bottom