Azam vs Young Africa Sport club nani kutoka kifua mbele leo.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Leo ndo leo asiye na mwana aeleke jiwe, miamba miwili ya soka ya hapa tanzania timu ya Azam na yanga wanapotifuata uwanja wa Taifa.

Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo
 
Ndala fc lazima wapigwe 4G tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Azam wanatia matumaini maana wanacheza kama simba sport club
 
Azam nipigie hao jamaa,ulete mtafutano pale Jangwani..
 
Yani wanateleza Kama mnyama[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…