Azam vs Young Africa Sport club nani kutoka kifua mbele leo.

Azam vs Young Africa Sport club nani kutoka kifua mbele leo.

Bernard bakari

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2016
Posts
407
Reaction score
781
Leo ndo leo asiye na mwana aeleke jiwe, miamba miwili ya soka ya hapa tanzania timu ya Azam na yanga wanapotifuata uwanja wa Taifa.

Tuungane sote kufatilia nani kuibuka mshindi hii leo
 
Ndala fc lazima wapigwe 4G tena[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yani wanateleza Kama mnyama[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Back
Top Bottom