Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
watu wengine sijui mnawaza kwa kutumia nini , kwamba yeye Azam hataki kombe [emoji3]Jibu ni rahisi tu, mmiliki wa Azzam ni mwanachama wa maisha wa Simba.
Kwahiyo wanataka kuisaidia Simba kupunguza gape ya point kitu ambacho hakitowezekana.
Sent using Jamii Forums mobile app