Azam wamepania hii game kuliko hata Confederation Cup

Jibu ni rahisi tu, mmiliki wa Azzam ni mwanachama wa maisha wa Simba.

Kwahiyo wanataka kuisaidia Simba kupunguza gape ya point kitu ambacho hakitowezekana.
watu wengine sijui mnawaza kwa kutumia nini , kwamba yeye Azam hataki kombe [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani aliwadanganya kuwa mna kikosi bora akati Geita Gold iliwasumbua vizuri tu . Binafsi naona Simba SC ina kikosi bora kuliko cha Yanga msimu huu pia .
Geita in nani ww kwa Yanga...?? Yaan geita inayofungwa kila na timu toka ligi lianze ety unaleta porija zako kuwa imesumbua Yanga..!!! Kwanza ile mechi uliiangalia kweli, Yanga ilifungwa bao ngapi..?
Nyie Makolos hamna timu mwakà huu na mtateseka sana
 
Nani aliwadanganya kuwa mna kikosi bora akati Geita Gold iliwasumbua vizuri tu . Binafsi naona Simba SC ina kikosi bora kuliko cha Yanga msimu huu pia .
Simba kikosi inayo chemistry ndo hamna
 
Tulia mdogo wangu, Leo lazima nyie Utopolo mpasuke, kwa hujui kuwa matajiri wa Azam ni Simba kindakindaki? Tulieni mtafurahi wenyewe Leo..
 
Miutopolo bhana... utadhani yenyewe haijatolewa Champions league kwa kupigwa nyumbani na ugenini...

Hakuna mijitu mijinga kama minyani....

Juzi tulishinda kwa msaada tumeshaanza kupayuka kama aliyekuwa mlezi wetu ndugu Bashite!
 
Kwa taarifa yako, Azam tayari wamelambwa hivyo wewe afadhali uingie tu mitini.
 
Huo ndio ubingwa wako kumfunga simba tu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…