NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kwani miquisone ni mchezaji wa team gani?Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Kwa hiyo unataka kusema huyo mchezaji ni kama tu yule mchezaji wetu Sawadogo?Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Na miqson nae ulimuona? Mbona Simba sc wanatia huruma na kutaka Saini ya miqson wakati ni mtu ambaye kimataifa haonekaniNimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.
Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.
My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.
Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??
View attachment 2671945
hata wakimsajili nani hawatafika popoteAzam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.
Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.
My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.
Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??
View attachment 2671945
Mi nafikiri ni sawa na BIGIRIMANA muuza duka huko UKKwa hiyo unataka kusema huyo mchezaji ni kama tu yule mchezaji wetu Sawadogo?
Maana na yeye wakati anasajiliwa, hakuwemo kwenye kikosi cha timu yake kwa muda mrefu kutokana na majeraha kumuandama.
Kwa hiyo FEISAL atakuwa kiungo mkabaji?Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.
Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.
My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.
Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??
View attachment 2671945
Mawazo mgando kuuliza kama timu imekosa uchawi, na kuwalipa marefa.Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??
UTOH mumemsahaulifu miqson mara hii.... siku tukimshusha hapa utapunguza kujaza saver humuNa miqson nae ulimuona? Mbona Simba sc wanatia huruma na kutaka Saini ya miqson wakati ni mtu ambaye kimataifa haonekani
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Hoja za watu humu zinaonyesha hawajui mpira.Kwani miquisone ni mchezaji wa team gani?
Iyo team inayommliki wanoashindana na simba kumchukua ulimuona ata akiichezea?
Azam FC hawajakamilika kila kituAzam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.
Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.
My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.
Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??
View attachment 2671945
Nadhani unaongelea soka la Ulaya na America, ila siyo la Africa, hususani Bongoland.Mawazo mgando kuuliza kama timu imekosa uchawi, na kuwalipa marefa.
Vyote ulivyotaja havina uhusiano wowote na mpira.
Kitambo sana sijasikia kuhusu Nanihata wakimsajili nani hawatafika popote
Nakazia,ni ushamba tu hakuna mchezaji humoWameshusha kitu kwa kuwa ni kitu, au kwa kuwa katoka Raja?