Azam wameshaanza kushusha vitu: Hatimaye wamemsajili mwamba kutoka Raja Cassablanca

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.

My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.

Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??

1687963137291_1.jpg
 
Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Kwani miquisone ni mchezaji wa team gani?

Iyo team inayommliki wanoashindana na simba kumchukua ulimuona ata akiichezea?
 
Kwa hiyo unataka kusema huyo mchezaji ni kama tu yule mchezaji wetu Sawadogo?

Maana na yeye wakati anasajiliwa, hakuwemo kwenye kikosi cha timu yake kwa muda mrefu kutokana na majeraha kumuandama.
 
Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Na miqson nae ulimuona? Mbona Simba sc wanatia huruma na kutaka Saini ya miqson wakati ni mtu ambaye kimataifa haonekani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.

My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.

Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??

View attachment 2671945
 
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.

My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.

Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??

View attachment 2671945
hata wakimsajili nani hawatafika popote
 
Wameshusha kitu kwa kuwa ni kitu, au kwa kuwa katoka Raja?
 
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.

My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.

Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??

View attachment 2671945
Kwa hiyo FEISAL atakuwa kiungo mkabaji?
 
Kwani miquisone ni mchezaji wa team gani?

Iyo team inayommliki wanoashindana na simba kumchukua ulimuona ata akiichezea?
Hoja za watu humu zinaonyesha hawajui mpira.
Lukaku hayuko kwenye list ya wachezaji Chelsea walioshiriki ligi kuu na uefa champions league.
Lakini ni mchezaji wa Chelsea.
Hawajui hata kama kuna kitu kinaitwa LOAN kwenye mpira
 
Azam FC imetangaza kumsajili kiungo mshambuliaji Djibril Sillah kutoka Raja Club Athletic ya Morocco.

Kwa mujibu wa taarifa ya Azam FC, nyota huyo raia wa Gambia atatua nchini muda wowote kuanzia sasa ili kumalizia taratibu za mwisho.

My take Azam Fc wanashindwa nini kuangusha utawala wa Simba na Yanga maana wamekamilika kwa kila kitu.

Inawezekana wamekosa uchawi, Figisu na kuwalipa marefa??

View attachment 2671945
Azam FC hawajakamilika kila kitu
 
Back
Top Bottom