Azam wameshaanza kushusha vitu: Hatimaye wamemsajili mwamba kutoka Raja Cassablanca

Mawazo mgando kuuliza kama timu imekosa uchawi, na kuwalipa marefa.
Vyote ulivyotaja havina uhusiano wowote na mpira.
We ndo huelewi,ligi ya bongo bila huo upuuzi hutoboi,kama huamini angalia mechi ya yanga vs geita ccm kirumba mzunguko wa pili msimu uliopita.
 
Nimeangalia mechi za Raja za robo na nusu fainali ya CAF CL dhidi ya Simba zote mbili na dhidi ya Ahly zote mbili, hakuwemo hata katika wachezaji wa akiba
Alikuwa kwa mkopo timu nyingine ya hapo hapo morroco. Na alifanikiwa kufunga goli 7 kwenye mechi 26 alizocheza.kumbuka mfungaji bora alikuwa ni sambou alikuwa na magoli 12.
 
We ndo huelewi,ligi ya bongo bila huo upuuzi hutoboi,kama huamini angalia mechi ya yanga vs geita ccm kirumba mzunguko wa pili msimu uliopita.
Ni mawazo yako kusema ligi ya bongo hutoboi bila uchawi.
Lakini wenye mawazo kama yenu mkikutana na Al Ahly, Waydad na Mamelodi mnaanza kusema quality ya wachezaji wa ligi ya Tz ni ndogo.
Hoja ya uchawi kuleta mafanikio katika soka la tz ni HOJA MFU.
Haina mashiko yoyote wala matokeo chanya yoyote.
Na NI UJINGA KUENDELEA KUAMINI UCHAWI NDIO UNAOLETA MATOKEO NDANI YA UWANJA.
 
We ndo huelewi,ligi ya bongo bila huo upuuzi hutoboi,kama huamini angalia mechi ya yanga vs geita ccm kirumba mzunguko wa pili msimu uliopita.
Simba anafikaje robo fainali CAF na Yanga kafikaje Final CAF kama ni mwendo wa kuhonga?
 
huwa ni wapuuzi tu wanaoamini uchawi au fitina, kwa sababu tukivuka tu mipaka mambo huwa magumu kweli kwa vilabu vyetu......
uchawi ungekua na nafasi basi naijeria wangekua mabingwa wa afrika kila mashindano yakifanyika,.....

ukweli ni kwamba team zetu uwezo mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…