Smart AJ
JF-Expert Member
- Mar 21, 2022
- 5,564
- 5,884
We ndo huelewi,ligi ya bongo bila huo upuuzi hutoboi,kama huamini angalia mechi ya yanga vs geita ccm kirumba mzunguko wa pili msimu uliopita.Mawazo mgando kuuliza kama timu imekosa uchawi, na kuwalipa marefa.
Vyote ulivyotaja havina uhusiano wowote na mpira.