Azam wametumika kama ngao ya Simba kwa Feisal

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.

Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.

Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.

Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.

Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.

Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.

Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.

Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.

Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.

Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.

Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.

Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
 
Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.

Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
 
Sielewi kwa nini mmeihusisha AZAM na sasa SIMBA kwa issue ya huyo dogo wakati hamna kiongozi hata mshabiki wa timu hizo aliyeonyesha kuwa anamtaka sana. Inawezekana ni kweli ndiyo timu zinazomtaka ila bila uthibitisho wowote, huku ni kujionyesha tu kuwa hamjiamini na mna wasiwasi na washindani wenu.

Nakumbuka zilipoanza fununu kuwa amepata timu nje, mashabiki wengi wa Yanga walionekana kupata ahueni, wakidai, afadhali aende nje maana kwenda AZAM ni kurudi nyuma, hahah.
 
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.

Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.

Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.

Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.

Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.

Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.

Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.

Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.

Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.

Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.

Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.

Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
YANGA MWENZANGU MBONA KAMA UMEPAGAWA? NYUZI YA NGAPI HII LEO KUHUSU SIMBA? TULIA BWANA HUYO FEISAL UMEMPA UMUHIMU MKUBWA SANA. ACHANA UFALA. ACHANA NAYE. YANGA SI YA KULIA LIA KILA SIKU. JIKAZE
 
....Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.
....Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Juu umeandika kuwa Simba ni wabahili. Chini umeandika kuwa Simba wanaenda Dubai, ambao hapo juu umewaita wabahili!
 
Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.

Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
Akikaa benchi amepoteza, kiwango kitashuka na malengo yake atakuwa hajayatimiza wakati kwa upande wa Yanga Fc kumlipa hiyo milioni 4 sio kitu, mbona kuna wachezaji wengi tu viazi wanalipwa zaidi ya hiyo.
 
Huo mkataba wakati anasaini alikuwa maiti?
 
Kukaa benchi ukalipwa ni sawa tu esp pale unapokuwa ulishalipwa mihela ya kutosha na wasioipenda Yanga ili uwasumbue na usiichezee timu yao. Mpira ni biashara kwa wadhamini, maslahi kwa wachezaji na burudani kwa mashabiki. Fei maslahi anayapata.
 
Huo mkataba wakati anasaini alikuwa maiti?
Alikuwa ana thamani inayolingana na huo mkataba. Baada ya thamani kupanda ni uungwana kwa club kukaa na mchezaji mapema kuboresha maslahi yake na kuuongezea mkataba thamani ilingane na thamani yake kwa maslahi ya pande zote mbili. WIN-WIN.
 
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.

Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.

Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.

Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.

Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.

Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.

Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.

Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.

Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.

Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.

Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.

Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Hatushangai kwani ni tawi lao na ndio maana walikaa miaka sita bila kiwafunga.
 
YANGA MWENZANGU MBONA KAMA UMEPAGAWA? NYUZI YA NGAPI HII LEO KUHUSU SIMBA? TULIA BWANA HUYO FEISAL UMEMPA UMUHIMU MKUBWA SANA. ACHANA UFALA. ACHANA NAYE. YANGA SI YA KULIA LIA KILA SIKU. JIKAZE
wewe ni simba wacha kutupoteza maboya
 
YANGA MWENZANGU MBONA KAMA UMEPAGAWA? NYUZI YA NGAPI HII LEO KUHUSU SIMBA? TULIA BWANA HUYO FEISAL UMEMPA UMUHIMU MKUBWA SANA. ACHANA UFALA. ACHANA NAYE. YANGA SI YA KULIA LIA KILA SIKU. JIKAZE

Ukiambiwa wenye akili wako wawili huwa huelewi wana maana gani???ndo myaonege na nyie sasa
 
Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.

Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
Walewale mandunfuche fc, Yanga sc Ni kitu kuuubwa ambalo hata wewe huko bila kujua..
 
Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.

Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
Blah blah
 
Ndio Simba walishazoea vya kunyonga,Simba wamejaa ubahili wanataka kitonga tu.

Baada ya kuona kwa Benard Morrison wamefanikiwa wakaja na gia ile ile ya Urubuni ili wampate Feisal kwa Bure wakumbuke vya kunyonga vina faida na Hasara, naona kwa sasa wameangukia pua wafwate kanuni na taratibu tutawauzia Feisal na sio kutaka kupita mlango wa Nyuma.

Ndio kwa Kifupi timu inayoteseka na mafanikio ya Yanga kwa sasa ni Simba Azam kabaki kama mshindani tu, baada ya Mbinu zao chafu kugundulika na makapi ya Simba yote kuondolewa pale Yanga wamebaki wanaweweseka tu.

Azam katumika kama chambo pasipo na shaka kama dhuruma zao zingefanikiwa Feisal angeibukia Simba na Sio Azam hii ishu ilikua ya kimkakati sana.

Angalia gemu na Azam dogo akaanza kuleta mapicha ili yanga ipoteze mchezo na Simba kuikaribia Prof Nabi anakwambia dogo alikua kwenye mpango wa gemu ile mara ghafla dogo akachafua hali ya hewa.

Angalia gemu na Mtibwa Dogo akaleta mikwara yake tena akiwa Dubai ili kuitoa Yanga kwenye umakini ila Mungu alisaidia na Yanga ikashinda.

Tumeenda mapinduzi dogo kazua sintofahamu tena wanawasiliana na Saido.

Tukumbuke Saido hakuachwa Yanga kwa ishu za kushuka kiwango bali ni kuwa na mawasiliano ya karibu na Viongozi wa Simba Yanga ikielekea kucheza mechi ya Nusu fainali na Simba pale Mwanza.

Hongera Pro Nabi kwake hakuna Staa nidhamu ndio kila kitu akapendekeza Ntibazonkiza aachwe ataharibu timu.

Ndani na Nje ya uwanja Azam na Simba ni kama Sunche na Kapeto tu lengo lao kubwa likiwa ni kuidhoofisha Yanga.

Wanayanga ni wakati wa kushikamana sana na kuzidi kuiombea timu yenu kwani mna maadui wengi tu.

Mbona Safari ya Simba Dubai imekua ghafla sana kunani i predict baada ya kwenda Dubai na kufika salama watasajili mchezaji mkubwa kidogo.
Uachage kuandika uharo
 
Simba sio waliompa fei mkataba mwepesi, usio na thamani na wa kimaskini.

Hata hivyo Fei kalamba dume. Mkimuuza kashinda, mkimbakisha akakaa benchi kashinda, mkimpa mkataba mpya kashinda.
Akiuzwa kashinda kivip wakati Yanga itapata faida

Akikaa benchi kashinda kivip wakat kiwango chake kinaporomoka

Aliyekwambia anapewa mkataba mpya yanga nani
 
Back
Top Bottom