Alistalikopaul
JF-Expert Member
- Feb 2, 2019
- 720
- 1,995
Muhimu tu apambane asiwe kama wenzake waliotangulia kama yule msomali.Hongera kwae Kally
Mbona timu yako ya simba na deiwaka wake Juma Mgunda, haijaanza kupoteana! Au na yenyewe ni suala tu la muda?Sasa Azam wataanza kupoteana na mwisho wa msimu wanaleta kocha mwingine
hili goma linakuja kugeuka hawataamini waafrika hatuna akili.[emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu.
Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya.
SportsArena.
Sas mpk lini wamuache je kama ni kali ndio anashinikiza apewe mkatabaHapo ndipo Azam walipokosea, wangeacha tuu hivyo hivyo