Azam wampa mkataba Ongala

Azam wampa mkataba Ongala

Alistalikopaul

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2019
Posts
720
Reaction score
1,995
[emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu.

Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya.

SportsArena.
 
Maoni yangu deiwaka sio wa kumuamini sana wengi wakipewa mkataba mambo hubadilika kabisaa vichapo vinaanza kutamalaki.
 
Sasa Azam wataanza kupoteana na mwisho wa msimu wanaleta kocha mwingine
 
Hapo ndipo Azam walipokosea, wangeacha tuu hivyo hivyo
 
[emoji599] Uongozi wa Azam FC umefikia makubaliano ya kumkabidhi timu aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu, Kally Ongala hadi mwisho wa msimu.

Uamuzi huo umefikiwa kutokana na kiwango bora timu imekionyesha chini yake, hivyo viongozi wameamua kusitisha taratibu za kutafuta Kocha mpya.

SportsArena.
hili goma linakuja kugeuka hawataamini waafrika hatuna akili.
 
Back
Top Bottom